Chanjo ya Matone Dhidi ya Ugonjwa wa Polio kwa watoto Yazinduliwa
May 18, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Viongozi wa Serikali na wasio wa Serikali na wananchi wakicheza wimbo maalum wa kuhamasisha kuchanja Chanjo ya Matone dhidi ya ugonjwa wa Polio kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano wakati wa uzinduzi wa Chanjo hiyo leo Mei 18, 2022 kwenye Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma.Aliyebeba mtoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Matone Dhidi ya Ugonjwa wa Polio kwa Watoto Wenye Umri chini ya Miaka Mitano unaofanyika leo Mei 18, 2022 kwenye Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Kauli mbiu ya Kampeni hiyo ni Kila tone la chanjo ya Polio litaiweka Tanzania salama dhidi ya ugonjwa wa kupooza (Polio) “Mpe Matone, Okoa Maisha”
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu akizindua Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Matone Dhidi ya Ugonjwa wa Polio kwa Watoto Wenye Umri chini ya Miaka Mitano leo Mei 18, 2022 kwenye Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Kauli mbiu ya Kampeni hiyo ni Kila tone la chanjo ya Polio litaiweka Tanzania salama dhidi ya ugonjwa wa kupooza (Polio) “Mpe Matone, Okoa Maisha”
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu akizingumza na Wananchi katika Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Matone Dhidi ya Ugonjwa wa Polio kwa Watoto Wenye Umri chini ya Miaka Mitano leo Mei 18, 2022 kwenye Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Kauli mbiu ya Kampeni hiyo ni Kila tone la chanjo ya Polio litaiweka Tanzania salama dhidi ya ugonjwa wa kupooza (Polio) “Mpe Matone, Okoa Maisha”
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wazazi wakiwa na watoto wao waliopatiwa chanjo katika Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Matone Dhidi ya Ugonjwa wa Polio kwa Watoto Wenye Umri chini ya Miaka Mitano leo Mei 18, 2022 kwenye Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Kauli mbiu ya Kampeni hiyo ni Kila tone la chanjo ya Polio litaiweka Tanzania salama dhidi ya ugonjwa wa kupooza (Polio) “Mpe Matone, Okoa Maisha”