Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 2, 2022.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 2, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo...
Read More