Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe, Mary Masanja (Mb) (katikati) akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Siriel Mchembe (kushoto) wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa nyumba 400 kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga leo.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amekagua ujenzi wa nyumba mpya 400 katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni, mkoani Tanga watakazohamia kwa hiari wananchi kutoka Ngorongoro.
Akizungumza katika ziara hiyo leo, Mhe. Masanja amewapongeza SUMA JKT kwa kufanya kazi vizuri k...
Read More