Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, Mama Mariam Mwinyi, akiongoza matembezi ya mazoezi ya viungo yalioanzia katika viwanja vya Kinyasini na kumalizikia katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya na Waziri wa Nchi Ofisi Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Mhe.Hamza Hassan Juma
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa