Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (kulia) akizungumza leo tarehe 3 Aprili, 2024 katika ofisi ndogo za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Asasi ya Bodi ya Kimataifa ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (EITI) ya nchini Norway, Mhe. Helen Clark pamoja na ujumbe wake kuhusu masuala ya rasilimali madini, mafuta na gesi asilia
Read More