Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na Jumuiya ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, baada ya kusikiliza changamoto zinazowakabili na kuzipatia ufumbuzi ikiwemo msuguano baina yao na Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA kuhusu masuala ya kodi na risiti za kieletroniki.
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutatua changamoto mbalimbali za wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo i...
Read More