Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumxa wakati akiziaga kaya 25 zenye watu 105 zinazohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea kijiji cha Msomera, Handeni. Katika Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro Karatu, Arusha Agosti 19, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mpaka kufikia Agosti 18, 2022, jumla ya kaya 1002 zenye watu 5,382 zimejiandikisha kwa hiari yao wenyewe kuhama katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro na kuelekea katika Kijiji cha Msomera, wilayani Handeni eneo ambalo limetengwa na Se...
Read More