Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Iglanson, kilichopo katika Wilaya ya Ikungi, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Singida. Agosti 5, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Iglanson, kilichopo katika Wilaya ya Ikungi, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Singida. Agosti 5, 2022. Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Jerry Muro na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Justice Kijazi.
Muonekano...
Read More