Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia) akizungumza wakati alipoongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, anayesimamia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Victoria Kwakwa (kushoto)), Makao Makuu ya Benki ya Dunia, jijini Washington D.C, Marekani.
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C
Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuitengea Tanzania jumla ya Dola za Marekani bilioni 2.1 sawa na Shilingi trili...
Read More