Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza jambo alipokutana na kuzungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Victoria Kwakwa (kushoto), Jijini Washington D.C, nchini Marekani ambapo Benki hiyo imeipongeza Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi mpana wa nchi (Good Management of Macro Economy).
Na Benny Mwaipaja, Washington, DC
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Victoria Kwakwa, ameipongeza...
Read More