Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Balozi wa Japan Nchini
Nov 09, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiakizungumza na mgeni wake Balozi wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. Misawa Yasushi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 9-11-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiakimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) mgeni wake Balozi wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. Misawa Yasushi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-11-2022 alipofika kujitambulisha.