Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumble wake wakiwa katika picha ya pamoja na kiongozi wa Makumbusho ya Saemaul nchini Korea baada ya kutembelea Makumbusho hayo, Oktoba 25, 2022. Waziri Mkuu yuko katika ziara ya kikazi nchini humo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Taasisi ya Global Cooperation Committee ya Korea kwenye Hoteli ya Lotte iliyopo Seoul Oktoba 25, 2022. Yuko katika ziara ya kikazi nichini humo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mashine mbalimbali wakati alipotembelea Kituo cha Ubunifu cha CEIC k...
Read More