Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Plan International, Dkt. Mona Girgis ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma leo Oktoba 26, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mazingira, Dkt. Andrew Komba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Plan International, Dkt. Mona Girgis ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma leo Oktoba 26, 2022.
Katika mazungu...
Read More