Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ziara ya Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mkoani Kagera.
Jan 05, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26306" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage (katikati) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Wilaya mara baada ya mkutano wa Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Dini na Wafanyabiashara uliofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Kagera.[/caption] [caption id="attachment_26308" align="aligncenter" width="750"] Wadau mbalimbali (Viongozi wa Serikali, Viongozi wa dini, Vyama vya siasa na wafanyabiashara) walioshiriki katika mkutano wa Waziri wa Viwanda uliofanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Geita.[/caption] [caption id="attachment_26309" align="aligncenter" width="525"] Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, akizungumza na kina mama wajasiriamali ambao walimueleza changamoto wanazokutana nazo katika shughuli zao.[/caption] [caption id="attachment_26310" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, akizungumza na Mkuu wa Karakana ya wajasiriamali inayosimamiwa na SIDO Mkoani Kagera, Andrea Damasen Mutawali.[/caption] [caption id="attachment_26311" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, akikagua eneo lililotengwa kwa ajili ya kuanza ujenzi wa sheds mkoani Kagera.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi