Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa Wilayani Kyela
Jul 30, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_7870" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivuka lango kuu linalotenganisha Malawi na Tanzania katika mpaka wa nchi hizo katika eneo la Kasumulu Wilayani Kyela Julai 29, 2017. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.[/caption] [caption id="attachment_7871" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye eneo la mpaka wa Tanzania na Malawi katika eneo la Kasumulu Wilayani Kyela Julai 29, 2017. Kushoto ni Naibu Spika, Dkt Tulia Ackson Mwansasu na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.[/caption] [caption id="attachment_7873" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Kata ya Njisi Wilayani Kyela wakati alipowasili kwenye uwanja wa michezo kuhutubia mkutano wa hadhara Julai 29, 2017.[/caption] [caption id="attachment_7874" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Kata ya Njisi katiak eneo la Kasumulu lililopo kwenye mpaka wa Tanzania na Malawi ktika wilaya ya Kyela Julai 29, 2017.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi