[caption id="attachment_37683" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Bumbuli ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba wakati alipowasili kwenye kiwanda cha Chai cha Mponde wilayani Lushoto akiwa katika ziara ya Mkoa wa Tanga, Novemba 1, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37684" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mitambo ya kiwanda cha Chai cha Mponde wilayani Lushoto Novemba 1, 2018. Kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.[/caption] [caption id="attachment_37686" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mitambo ya kiwanda cha Chai cha Mponde wilayani Lushoto akiwa katika ziara ya Mkoa wa Tanga, Novemba 1, 2018. Alikuwa katika ziara ya Mkoa wa Tanga.[/caption] [caption id="attachment_37687" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha Chai cha Mponde wilayani Lushoto, Novemba 1, 2018. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, watatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela na wanne kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu.[/caption] [caption id="attachment_37688" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Mponde wilayani Lushoto wakati alipowasili kijijini hapo kukagua kiwanda cha chai cha mponde na kuzungumza na wananchi, Novemba 1, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37689" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Bumbuli ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba katika mkutano aliouhutubia kwenye kijiji cha Mponde wilayani Lushoto, Novemba 1, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37690" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wakimpungia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye kijiji cha Mponde wilayani Lushoto kukagua kiwanda cha chai cha Mponde na kuzungumza na wananchi, Novemba 1, 2018.[/caption]