[caption id="attachment_27429" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wenza wa askari magereza wa gereza la Tabora Moja baada ya kukagua mradi wa ufugaji ng'ombe wa nyama na maziwa katika gereza hilo na kuzungumza na askari Januari 18, 2018.[/caption] [caption id="attachment_27430" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mbuzi katika mji mdogo wa Mugumu kuhutubia mkutano wa hadhara Januari 18, 2018.Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mara, Adam Malima.[/caption] [caption id="attachment_27432" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Serengeti, Cha Marwa katika mkutano wa hadhara alipohutubia kwenye uwanja wa Mbuzi katika mji mdogo wa Mugumu wilayani Serengeti Januari 18, 2018.[/caption] [caption id="attachment_27434" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wa mji mdogo wa wilaya ya Serengeti wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mbuzi katika mji mdogo wa Mugumu Januari 18, 2018.[/caption]