Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ziara ya Waziri Jenista Mhagama Kigamboni
Sep 18, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_35338" align="aligncenter" width="750"] MKurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), William Erio (aliyesimama) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Uratibu, Jenista Mhagama wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipande cha barabara katika eneo la Daraja la Kigamboni mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_35339" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Uratibu, Jenista Mhagama akifafanua jambo kwa watendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Kigamboni wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipande cha barabara katika eneo la Daraja la Kigamboni mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_35340" align="aligncenter" width="750"] Meneja Mradi wa Kampuni ya China Railway Construction Engineering Group (CRCEG) Jamal Mruma akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Uratibu, Jenista Mhagama (katikati) wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipande cha barabara katika eneo la Daraja la Kigamboni mapema hii leo, kushoto ni MKurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), William Erio.[/caption] [caption id="attachment_35341" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Uratibu, Jenista Mhagama (aliyevaa kitenge) akikagua maendeleo ya ujenzi wa kipande cha barabara katika eneo la Daraja la Kigamboni mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_35342" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Sara Msafiri (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Uratibu, Jenista Mhagama (katikati) wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipande cha barabara katika eneo la Daraja la Kigamboni mapema hii leo, kulia ni MKurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), William Erio.[/caption] [caption id="attachment_35343" align="aligncenter" width="1022"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Uratibu, Jenista Mhagama (katikati) akisisitiza jambo kwa mzabuni wa ujenzi wa kipande cha barabara katika eneo la Daraja la Kigamboni (hayupo pichani) wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo mapema hii leo, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Sara Msafiri na kulia ni MKurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), William Erio.[/caption] [caption id="attachment_35344" align="aligncenter" width="750"] Eneo la kipande cha barabara katika eneo la Daraja la Kigamboni likiendelea na ujenzi wakatio Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Uratibu, Jenista Mhagama alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipande cha barabara katika eneo la Daraja la Kigamboni mapema hii leo. (Picha na MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi