[caption id="attachment_1098" align="aligncenter" width="1000"] Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Song,Geum-young akizungumza na washiriki wa Tamasha la Ngoma za asili za nchi hiyo (hawapo pichani) jana Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_1099" align="aligncenter" width="1000"]
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_1100" align="aligncenter" width="800"]
Wasanii kutoka Jamhuri ya Korea wakionesha moja ya ngoma za aslili za nchi hiyo wakati wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.[/caption]