Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mwakyembe Azungumzia Kanuni za Umiliki wa Klabu za Michezo za Kijamii
Dec 13, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24772" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu marekebisho ya kanuni za umiliki wa klabu za michezo za kijamii leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mtendaji Mkuu TFF Bw. Wilfred Kidau[/caption] [caption id="attachment_24773" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu marekebisho ya kanuni za umiliki wa klabu za michezo za kijamii leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mtendaji Mkuu TFF Bw. Wilfred Kidau[/caption] [caption id="attachment_24774" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akionyesha tangazo la Serikali lililochapisha kanuni za umiliki wa klabu za michezo za kijamii wakati wa kikao na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Msajili wa vyama vya michezo na vilabu vya michezo nchini Bw. Ibrahimu Mkwawa. (Picha na Genofeva Matemu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi