Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mpango Akutana na Kufanya Mazungumzo na Gavana Mteule wa BoT
Jan 04, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26249" align="aligncenter" width="750"] Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, akisaini kitabu cha wageni alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_26251" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwa katika mazungumzo na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi