Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mwakyembe Azungumza na Watumishi wa Wizara Yake Jijini Dodoma
May 29, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43652" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakazi wa wizara yake katika kikao chake na wafanyakazi hao kilichofanyika leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43654" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Susan Mlawi akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) katika kikao baina yake na wafanyakazi wa Wizara yake leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43655" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Orest Mushi akijibu hoja za watumishi wa Wizara hiyo wakati wa kikao baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe na wafanyakazi wa wizara hiyo leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43656" align="aligncenter" width="1000"] Kaimu Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Celilia Kasonga akichangia hoja wakati wa kikao baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) na wafanyakazi wa wizara hiyo leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43657" align="aligncenter" width="931"] Afisa Habari wa Idara ya Habari – MAELEZO, Bibi. Lilian Lundo akichangia hoja wakati wa kikao baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) na wafanyakazi wa wizara hiyo leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43658" align="aligncenter" width="1000"] Afisa Utamaduni Bw. Mfaume Said akichangia hoja wakati wa kikao baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) na wafanyakazi wa wizara hiyo leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43659" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya viongozi wa Menejimenti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na wafanyakazi wa Wizara hiyo wakifuatilia kikao baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) na wafanyakazi wa wizara hiyo leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43660" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya viongozi wa Menejimenti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na wafanyakazi wa Wizara hiyo wakifuatilia kikao baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) na wafanyakazi wa wizara hiyo leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43661" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya viongozi wa Menejimenti ya wizara yake wakati wa kikao chake na wafanyakazi wa Wizara yake leo Jijini Dodoma.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Orest Mushi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Susan Mlawi, Naibu Katibu Mkuu wa wira hiyo Nicholas William na Mwakilishi wa TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Bibi. Aurelia Ndokeji.[/caption] [caption id="attachment_43662" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Idara ya Habari – MAELEZO mara baada ya kumaliza kikao baina yake na wafanyakazi wa Wizara yake leo Jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Orest Mushi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Susan Mlawi, Naibu Katibu Mkuu wa wira hiyo Nicholas William na Mwakilishi TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Bibi. Aurelia Ndokeji.[/caption] [caption id="attachment_43663" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Vitengo vilivyo chini ya wizara yake mara baada ya kumaliza kikao baina yake na wafanyakazi leo Jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Orest Mushi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Susan Mlawi, Naibu Katibu Mkuu wa wira hiyo Nicholas William na Mwakilishi TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Bibi. Aurelia Ndokeji.[/caption] [caption id="attachment_43664" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Idara ya Utawala na Utumishi mara baada ya kumaliza kikao baina yake na wafanyakazi leo Jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Orest Mushi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Susan Mlawi, Naibu Katibu Mkuu wa wira hiyo Nicholas William na Mwakilishi TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Bibi. Aurelia Ndokeji. (Picha na: MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi