Waziri Mkuu Majaliwa Akutana na Balozi wa Japan Nchini
Sep 20, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Balozi wa Japan nchini, Yasushi Misawa kabla ya mazungumzo yao ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Septemba 20, 2022.