Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni Leo
Jun 15, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_3572" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kwenye jengo la Utawala la Bunge leo mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_3574" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama bungeni mjini Dodoma, leo.[/caption] [caption id="attachment_3577" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu Maswali Bungeni mjini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_3580" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu wa Bunge, Dkt, Thomas Kashililah, Mbunge wa Igunga, Dkt. Dalaly Kafumu na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia kwenye viwanja wa Bunge mjini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_3581" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitea na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 15, 2017. (Picha na: Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi