[caption id="attachment_49413" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi wa NSSF, Balozi Alli Siwa, wakati alipokagua Miradi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Taifa na Shirika la Nyumba la Taifa ya Ujenzi wa nyumba Tuangoma, Mtoni Kijichi na Dungu, Novemba 27, 2019.[/caption] [caption id="attachment_49423" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa nyumba za Watumishi Housing, uliyopo Dege wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Novemba 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] [caption id="attachment_49422" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa nyumba za NSSF, zilizopo Tuangoma katika Wilaya ya Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Novemba 27, 2019.[/caption] [caption id="attachment_49420" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa nyumba za NSSF, zilizopo Tuangoma katika Wilaya ya Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Novemba 27, 2019.[/caption] [caption id="attachment_49419" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa nyumba za NSSF, zilizopo Tuangoma katika Wilaya ya Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Novemba 27, 2019.[/caption] [caption id="attachment_49417" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, wakati alipotembelea mradi wa nyumba za NHC, zilizopo Mtoni Kijichi katika Wilaya ya Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Novemba 27, 2019.[/caption] [caption id="attachment_49416" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana, Kazi na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, wakati akikagua mradi wa nyumba za NSSF, zilizopo Tuangoma katika Wilaya ya Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Novemba 27, 2019.[/caption] [caption id="attachment_49415" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa nyumba za NSSF, zilizopo Tuangoma katika Wilaya ya Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Novemba 27, 2019.[/caption]