Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozindua Mradi wa USAID AFYA YANGU kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 6, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mradi wa USAID AFYA YANGU kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 6, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mradi wa USAID AFYA YANGU kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 6, 2022. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, Mkurugenzi Mkazi wa USAID, Kate Somvongsiri, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Balozi wa Marekani nchini Dkt. Donald Wright , Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka na kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Zainab Chaula
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha bango baada ya kuzindua Mradi wa USAID AFYA YANGU kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 6, 2022. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa USAID, Kate Somvongsiri, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Balozi wa Marekani nchini Dkt. Donald Wright na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka