[caption id="attachment_25912" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akionyesha barua aliyopokea kutoka kwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma,wakati akizungumza na waandishi wa habari kijijini kwake Namahema ‘A’ wilayani Ruangwa mkoani Lindi leo jioni Ijumaa, Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]