[caption id="attachment_27021" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na wadau wa zao la Kahawa kwenye kikao cha kujadili maendeleo ya zao hilo, kilichofanyika katika ukumbi wa Hazina, mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_27022" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha mfano wa Kahawa iliyofungwa vizuri kwa soko la Kimataifa, inayotengenezwa na Kampuni ya Kitanzania ya AMIMZA Coffee, wakati alipokutana na wadau wa zao la Kahawa kwenye kikao cha kujadili maendeleo ya zao hilo, kilichofanyika katika ukumbi wa Hazina, mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_27023" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa AMIMZA Coffee Products ya Tanzania, Amir Hamza, baada ya kukutana na wadau wa zao la Kahawa kwenye kikao cha kujadili maendeleo ya zao hilo, kilichofanyika katika ukumbi wa Hazina, mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_27024" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, baada ya kukutana na wadau wa zao la Kahawa kwenye kikao cha kujadili maendeleo ya zao hilo, kilichofanyika katika ukumbi wa Hazina, mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]