[caption id="attachment_23419" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,Nyumbani kwa aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Songea .Leonidas Gama. Waziri Mkuu aliungana na wanafamilia pamoja na wananchi wa Songea katika kijiji cha Lukuyi Wilayani Songea jana katika kuomboleza msiba[/caption] [caption id="attachment_23420" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim. Majaliwa jana aliungana na wanafamilia, wananchi wa Songea katika kuomboleza kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo la Songea, Bw. Leonidas Gama, nyumbani kwa marehemu Likuyu wilayani Songea.[/caption]