Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Asoma Hotuba ya Kuahirisha Bunge
Jun 29, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_33156" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge, jijini Dodoma Juni 29, 2018.[/caption] [caption id="attachment_33157" align="aligncenter" width="750"] Bendi ya JKT Makutupora ikiongoza Wimbo wa Taifa wakati Bunge lilipoahirishwa jijini Dodoma Juni 29, 2018.[/caption] [caption id="attachment_33158" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga makofi baada ya Bendi ya JKT Makutopora kuongoza Wimbo wa Taifa wakati wa kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge jijini Dodoma Juni 29, 2018. Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Madini, Angela Kairuki, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mahagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi.[/caption] [caption id="attachment_33159" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge jijini Dodoma Juni 29, 2018.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi