Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Ashiriki Kuaga Mwili wa Aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri
Jul 07, 2017
Na Msemaji Mkuu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa aliyekua Karani wa Baraza la Mawaziri, Bw. Hassan Rashid Shebuge nyumbani kwa marehemu, Mbagala Majimatitu, Julai 7, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akishiriki dua ya kumuombea marehemu ya aliyekua Karani wa Baraza la Mawaziri Bw. Hassan Rashid Shebuge nyumbani kwa marehemu Mbagala Majimatitu, Julai 7, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akitoa pole kwa niaba ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, katika msiba wa aliyekua Karani wa Baraza la Mawaziri Bw. Hassan Rashid Shebuge, nyumbani kwa marehemu, Mbagala Majimatitu, Julai 7, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa aliyekua Karani wa Baraza la Mawaziri Bw. Hassan Rashid Shebuge, nyumbani kwa marehemu, Mbagala Majimatitu, Julai 7, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi