Waziri Mkuu Aongoza Kikao Kwa Njia ya Video na Wakuu wa Mikoa Pamoja na Kamati za Sensa, Akutana na Balozi wa Austria
Aug 25, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Austria, mwenye makazi yake Nairobi, Kenya anayewakilisha Tanzania, Balozi Dkt. Christian Fellner, wakati alipokutana nae katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Austria mwenye makazi yake Nairobi, Kenya anayewakilisha Tanzania, Balozi Dkt. Christian Fellner (katikati) wakati alipokutana nae katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ETEFA GmbH, inayojihusisha na utengenezaji wa magari yanayotumia gesi asilia na ujenzi wa miundombinu ya geni asilia.