Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Aomboleza Msiba wa Mke wa Naibu Waziri Kangi Lugola
Jan 03, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26178" align="aligncenter" width="683"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfariji  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola  kwenye msiba wa  mkewe Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola Gerezani Railyways Club jijinio Dar es salaam leo January 3, 2018.[/caption] [caption id="attachment_26179" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 3, 2018 kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki jana.[/caption] [caption id="attachment_26181" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ,akitoa pole kwa wafiwa alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 3, 2018 kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki juzi tarehe 1/1/2018.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi