Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Amtembelea Mama Maria Nyerere
Jan 21, 2018
Na Msemaji Mkuu

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na mkewe Bi. Mary Majaliwa wakizungumza na Mama Maria Nyerere wakati walipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiama Jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere  eneo la Mwitongo, Butiama Jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa , Mkewe Bi. Mary Majaliwa na Mama Maria Nyerere wakiwapungia wananchi  katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika uwanja wa Mwenge kijijini Butiama Jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi