Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Akutana na Balozi wa Qatar Nchini
Mar 08, 2024
Waziri Mkuu Akutana na Balozi wa Qatar Nchini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Qatar nchini Fahad Rashid Al Muraikhi katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam Machi 8, 2024.
Na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Qatar nchini Fahad Rashid Al Muraikhi, katika ofisi ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam Machi 8.2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea salamu za pole ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi kutoka Serikali ya Qatar zilizotolewa na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al Muraikhi katika ofisi ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam Machi 8.2024.

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi