Waziri Mkuu Ahani Msiba wa Mtoto wa Mbunge wa Ndada, Cecil Mwambe
Aug 25, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pole Mbunge wa Ndada Cecil Mwambe, wakati alipohani msiba wa Celia Mwambe, ambaye ni mtoto wa Mbunge huyo, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. Kulia ni mwenza wake Rose Tweve.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ndada, Cecil Mwambe, wakati alipohani msiba wa Celia Mwambe, ambaye ni mtoto wa Mbunge huyo, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. Kulia ni mwenza wake Rose Tweve