[caption id="attachment_37954" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Palestina nchini Hamdi Abuali, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37953" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Hamdi Abuali, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37956" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Shinichi Goto, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37955" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Japan nchini Shinichi Goto, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2018.[/caption]