Mbarawa Avunja Mikataba ya Wakandarasi wa Miradi ya Maji ya Lindi na Kigoma
Nov 15, 2018
Na
Msemaji Mkuu
[caption id="attachment_38255" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maji, Profesa. Makame Mbarawa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dodoma kuhusu kusitishwa kwa mikataba miwili ya wakandarasi wa miradi ya maji Lindi na Kigoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Awesso.[/caption]
[caption id="attachment_38257" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wanahabari wakifuatilia mkutano baina yao na Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa(hayupo pichani) alipokuwa akitangaza kusitishwa kwa mikataba miwili ya wakandarasi wa miradi ya maji Lindi na Kigoma leo jijini Dodoma.(Na Mpiga Picha Wetu)[/caption]