Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Kalemani Amkabidhi Ofisi Waziri Wa Madini Angellah Kairuki
Oct 14, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_19453" align="aligncenter" width="750"] Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani akimkabidhi Ofisi Waziri wa Madini, Angellah Kairuki. Wanaoshuhudia katikati ni Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo, kulia kwaDkt. Kalemani ni Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu na wa kwanza kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Prof. James Mdoe.[/caption] [caption id="attachment_19456" align="aligncenter" width="750"] Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani (kulia aliyekaa) Waziri wa Madini Angellah Kairuki kushoto(aliyekaa) wakiweka saini Nyaraka za Makabidhiano ya Wizara. Wanaoshuhudia ni Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo , Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu na Kaimu Katibu Mkuu Prof. James Mdoe (wa kushoto).[/caption] [caption id="attachment_19459" align="aligncenter" width="750"] Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani (katikati mbele), Waziri wa Madini Angellah Kairuki (katikati mbele), Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu (kushoto) Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo (Kushoto kwa Waziri Angellah Naibu Waziri wa Nishati, Katibu Mkuu Prof. James Mdoe wakifuatilia kikao kati ya viongozi hao na Wajumbe wa Menejimenti wa iliyokua Wizara ya Nishati na Madini.[/caption] [caption id="attachment_19462" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo (aliyesimama) akieleza jambo wakati wa kikao kati ya vingozi hao na Menejimenti ya iliyokuwa Wizara ya Nishati na Madini.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi