[caption id="attachment_18367" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Wasambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza.Kikao hicho kilihusu uhalali wa Takwimu zinazotumika katika kuamua sehemu ya kupeleka matangazo.[/caption] [caption id="attachment_18370" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Wasambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza.Kikao hicho kilihusu uhalali wa Takwimu zinazotumika katika kuamua sehemu ya kupeleka matangazo.[/caption] [caption id="attachment_18373" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus akifafanua jambo wakati wa kikao cha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) na Wasambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari leo jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilihusu uhalali wa Takwimu zinazotumika katika kuamua sehemu ya kupeleka matangazo.[/caption] [caption id="attachment_18376" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus akifafanua jambo wakati wa kikao cha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) na Wasambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari leo jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilihusu uhalali wa Takwimu zinazotumika katika kuamua sehemu ya kupeleka matangazo.[/caption] [caption id="attachment_18379" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo wakati wa kikao baina yake na Wasambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus. Kikao hicho kilihusu uhalali wa Takwimu zinazotumika katika kuamua sehemu ya kupeleka matangazo.[/caption] [caption id="attachment_18382" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa wawakilishi wa Kampuni za Usambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari kutoka Kampuni ya OMD Tanzania Bw. Enos Otieno akichangia hoja wakti wa kikao baina yao na Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe leo jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kilihusu uhalali wa Takwimu zinazotumika katika kuamua sehemu ya kupeleka matangazo. (Picha na: Frank Shija)[/caption]