[caption id="attachment_24401" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ambao umekamilika kwa asilimia 82 hadi sasa na unatarjiwa kukamilika ifikapo Januari 2018.