Waziri Chana Atembelea Ofisi za Tume ya Uchaguzi Dodoma
Jan 28, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele (Kushoto), akiwa na wageni wake Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (Kulia) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga (anayetia saini katika kitabu cha wageni) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Tume ya Taifa ya uchaguzi Tarehe 27 Januari 2022. Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson CharlMahera.
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt.Wilson Charles Mahera (kulia), akizungumza na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (katikati) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Ummy Nderiananga walipotembelea Makao makuu ya ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Njedengwa jijini Dodoma tarehe 27 Januari 2022.
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana akiwa na Menejinenti ya Tume
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 27 Januari 2022 mara baada ya kutembelea ofisi hizo zilizopo Ndejengwa Jijini Dodoma.
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (Kulia) akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 27 Januari 2022 mara baada ya kutembelea ofisi hizo zilizopo Ndejengwa Jijini Dodoma.