Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wahitimu 3461 Kutunukiwa Chuo Kikuu Mzumbe
Nov 27, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_23543" align="aligncenter" width="640"] Naibu  Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro, akizungumza na waandishi wa habari juu ya mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro Novemba 30, 2017, Chuo cha Kampasi ya Mbeya Desemba 8 na Chuo cha Kampasi ya Dar es Salaam Desemba 22. Ambapo jumla ya wahitimu 3,461 wanatarajiwa kutunukiwa shahada, stashahada na astashahada mbalimbali.Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Mzumbe, Rainfrida Ngatunga.[/caption] [caption id="" align="aligncenter" width="640"] Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu Mzumbe, Dk. Mrisho Malipula, akitoa ufafanuzi juu ya mahafali hayo ambapo kati ya wahitimu hao 4 (0.12%) watatunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD), 1,005 (29.04%) Shahada za Umahiri (Masters), 2,063 (59.61%) Shahada za Kwanza (Bachelors) na 191 (5.52%) watatunukiwa Stashahada (Diploma). *Astashahada (Certificate) ni 198 (5.72%).[/caption]   [caption id="" align="aligncenter" width="640"] Meneja Mawasiliano na Uhusiano Chuo Kikuu Mzumbe, Sylvia Lupembe, akitoa ufafanuzi juu ya mkutano wa Baraza la Masajili 'Convocation' utakaofanyika Novemba 29, 2017 Kampasi Kuu Morogoro ambapo alisema linaendelea kuwahamasisha wahitimu wote wa Chuo Kikuu Mzumbe na wadau wengine kuendelea kuchangia kampeni ya ujenzi wa hosteli ya wanachuo wa kike kupitia 'Çonvocation Fundraising Account'namba 01o150209448900 iliyopo Benki ya CRDB, Tawi la Mzumbe.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi