Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wagonjwa 15 Wafanyiwa Upasuaji wa Kupandikiza Mishipa ya Damu Katika Moyo Na Kurekebisha Mshipa Mkubwa wa Damu Katika Kambi Maalum ya Matibabu
Nov 10, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22258" align="aligncenter" width="750"] Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya Damu ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Upasuaji kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Bashir Nyangasa akiongea na waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu kambi maalum ya upasuaji ambayo imefanywa na Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya Mjini Mumbai nchini India ambapo wagonjwa 15 wamefanyiwa upasuaji. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi Roberth Mallya na kushoto ni Daktari bingwa wa usingizi na wagonjwa mahututi Anjela Muhozya akifuatiwa na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya Damu kutoka Hospitali ya Saifee Ali Ascar Beliranwalwa.[/caption] [caption id="attachment_22259" align="aligncenter" width="750"] Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya Damu ambaye pia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Upasuaji kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Bashir Nyangasa akiwaonyesha waandishi wa Habari jinsi upasuaji wa kurekebisa mshipa mkubwa unaotoa damu kwenye moyo kwenda sehemu zote za mwili (Aortic Aneurysm Repair) ulivyofanyika kwa mara ya kwanza hapa nchini katika kambi maalum ya upasuaji inayofanywa na Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya nchini India. Kulia ni Daktari bingwa wa usingizi na wagonjwa mahututi Anjela Muhozya akifuatiwa na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya Damu kutoka Hospitali ya Saifee Ali Ascar Beliranwalwa.[/caption] [caption id="attachment_22260" align="aligncenter" width="750"] Mkutano wa waandishi wa Habari ukiendelea kuhusu kambi maalum ya upasuaji ambayo imefanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya Mjini Mumbai nchini India ambapo wagonjwa 15 wamefanyiwa upasuaji. Upasuaji uliofanyika ni wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting), kubadili milango miwili hadi mitatu ya moyo (Valve Replacement) na kurekebisha mshipa mkubwa unaotoa damu kwenye moyo kwenda sehemu zote za mwili (Aortic Aneurysm Repair).
Picha na JKCI[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi