[caption id="attachment_36793" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na washiriki waliojitokeza katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha St. Johns University of Tanzania.[/caption]
[caption id="attachment_36795" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi. Susan Mlawi akitoa maelezo mafupi kuhusu Mdahalo kwa washiriki waliojitokeza katika Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha St. Johns University of Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_36797" align="aligncenter" width="988"] Dkt. Alfred Sebahene kutoka Chuo Kikuu cha St. Johns Tanzania akiwasilisha mada isemayo “Maisha na Uongozi wa Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere yanavyoakisi Uzalendo na Utaifa” katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo hicho.[/caption] Dkt. Stellah Faustine kutoka Chuo Kikuu Dodoma akiwasilisha mada iliyosema “Mchango wa Lugha ya Kiswahili katika kukuza Uzalendo na Utaifa” katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha St. Johns of Tanzania. [caption id="attachment_36799" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akimpongeza mshairi Bw. Mpemba Asilia Ali baada ya kusoma shairi wakati wa Mdahalo wa Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha St. Johns University of Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_36800" align="aligncenter" width="1000"] Prof. Casimiri Rubagunya akichangia mada wakati wa Mdahalo katika Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha St. Johns University of Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_36801" align="aligncenter" width="1000"] Mwanafunzi Edmund Kakoi kutoka Shule ya Sekondari Jamhuri akitoa mchango wake wakati wa Mdahalo katika Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K.Nyerere uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha St. Johns University of Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_36802" align="aligncenter" width="1000"] WaziriwaHabariUtamaduni Sanaa naMichezoDkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara yake pamoja na viongozi wa Chuo Cha St. Johs of Tanzania baada ya Mdahalo wa Kumbukizi ya Baba waTaifa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo[/caption]