[caption id="attachment_30001" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (katikati) akifafanua jambo jana wakati wa kikao cha kujitathimini kwa ajili ya kuja na majibu ya kuondoa ajali za barabarani mkoani humo kichofanyika jana Wilayani Igunga na kuhudhuriwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Tabora na ile ya Wilaya ya Igunga na wadau mbalimbali wa usafiri. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Igunga John Mwaipopo na kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Wilbroad Mtafungwa.