[caption id="attachment_27968" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Kitengo cha Sheria Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Bw. Filoteus Manula akitoa maelezo ya utangulizi na utambulisho wa wageni walihudhuria katika warsha ya wadau kujadili rasimu ya kanuni za Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma inayofanyika leo Mjini Dodoma katika ukumbi wa Treasury Square.[/caption] [caption id="attachment_27970" align="aligncenter" width="750"] Kamishna wa Maadili ya Viongozi wa Umma, Mheshimiwa Jaji Msataafu Harold Nsekela akihutubia washiriki katika warsha ya wadau kujadili rasimu ya kanuni za Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma inayofanyika leo Mjini Dodoma katika ukumbi wa Treasury Square.(Picha na Kajiru Shaban - Afisa Habari, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma)[/caption] [caption id="attachment_27969" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Kitengo cha Sheria Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Bw. Filoteus Manula akitoa maelezo ya utangulizi na Utambulisho wa Wageni walihudhuria katika warsha ya wadau kujadili rasimu ya kanuni za Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma inayofanyika leo Mjini Dodoma katika ukumbi wa Treasury Square.[/caption] [caption id="attachment_27967" align="aligncenter" width="750"] Kamishna wa Maadili ya Viongozi wa Umma, Mheshimiwa Jaji Msataafu Harold Nsekela (katikati) akiongoza kuimba wimbo wa Tanzania Nakupenda katika warsha ya wadau kujadili rasimu ya kanuni za Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma inayofanyika leo Mjini Dodoma katika ukumbi wa Treasury Square. Kushoto ni Katibu Idara ya Viongozi wa Umma, Bw. John Kaole na kulia ni Mbunge wa Nkenge Mheshimiwa Diodorous Kamala.[/caption] [caption id="attachment_27966" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiimba wimbo wa Tanzania Nakupenda katika ufunguzi wa warsha ya wadau kujadili rasimu ya kanuni za Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Namba 13 ya mwaka 1995 pamoja na marekebisho yake inayofanyika leo Mjini Dodoma katika ukumbi wa Treasury Square.[/caption]