Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wabunge Tumieni Michezo Kuimarisha Ushirikiano wa EAC-Majaliwa
Dec 04, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24077" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya Bunge la Burundi muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi dhidi ya timu ya Bunge ya Tanzania .Waziri Mkuu alifungua mashindano ya timu hizo mbili ambayo yamefanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo[/caption] [caption id="attachment_24078" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya Bunge la Tanzania muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi dhidi ya timu ya Bunge ya Burundi. Waziri Mkuu alifungua mashindano ya timu hizo mbili ambayo yamefanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. (Picha na: Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi