[caption id="attachment_24493" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa Kwanza kilichozinduliwa katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan.[/caption] [caption id="attachment_24492" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa Kwanza katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_24495" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akizundua Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa Kwanza katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, wakishuhudia uzinduzi huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_24496" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akionesha picha ya Kitabu cha Kampeni Uzalendo na Utaifa Kwanza baada ya kukizundua katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe.[/caption] [caption id="attachment_24494" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Viongozi na Wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa Kwanza wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma.[/caption]