Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ujenzi Mji wa Serikali ni Usiku na Mchana
Jan 04, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_39485" align="aligncenter" width="1000"] : Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe akishiriki zoezi la kushusha matofali katika eneo inapojengwa Ofisi ya Wizara ya Nishati wakati akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_39486" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe akiandika taarifa kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Katiba na Sheria alipokuwa akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_39487" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe akipanda msingi alipokuwa akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Katiba na Sheria wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_39488" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe akiandika taarifa kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa alipokuwa akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_39489" align="aligncenter" width="838"] Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe akiangalia maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa alipokuwa akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_39491" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe(kulia) akisikiliza maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kutoka kwa Mhandisi Suma Atupele wa Vikosi vya Ujenzi ambaye ambao ndio Wakandarasi wa ujenzi wa Ofisi hiyo alipokuwa akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_39493" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe akielezea jambo alipotembelea eneo la ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Nishati alipokuwa katika ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma. Kushoto ni Mhandisi Peter Mwaisabula toka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). (Picha na: MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi